Taarifa za awali zilizotifikia chumba chetu cha habari zinaarifu ya kuwa wazee wa CHADEMA wamekutana na kuzungumzo katibu wa chama Dr Wilbroad Slaa nyumbani kwake kuhusu sintofahamu iliyojitokeza ambapo huenda Dr Slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.
Picha na taarifa zaidi zitafuata kadri tutakavyozipata, endelea kufuatilia hapa hapa
Hapo juu ni picha ya Dr Slaa na wazee wa chama hicho!
Post a Comment