Wadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba
wangu na kampuni flani.sasa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu
wa miaka 3..na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa kike ambaye
amemaliza chuo mwaka jana anasubiria ajira,sasa wadau wife wangu ni
mfanyakazi so mida mwingi anashinda job,mimi nipo tu home na shemeji
yangu,kid anapelekwa shule asubuh mpska jioni.shem huyu wadau ni mrembo
sana ana figure matata sana na ni mzuri kwa kweli..yani mitihani
ninayoipata ni mikubwa sana..mana nguo anazo vaa zinaonenya umbo lake
namba 8 lilivyo,juzi asubuh nilikuwa nimelala akagonga chumbani kwangu
anatafuta kitu wakati kavaa khanga tu.jamani naombeni ushauri wenu
nifanyaje je?maana uzalendo unaelekea kunishinda asee.maana sasa imefika
wakati naliota umbo lake na uzuri wake nimechanganyikiwa.naombeni
ushauri weni wadau.
Asanteni
By Fukara
Post a Comment