Ni mbunge wa Nzega Dr. Hamisi Kigwangalla ambaye alikua miongoni mwa waliojitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya CCM kuwania Urais wa Tanzania 2015.
Leo August 5 2015 alitumia page
yake ya twitter kuyatoa yake ya moyoni kwa kuandika sentensi kadhaa
kuhusu CHADEMA na Edward Lowassa kwa kuandika >>> ‘Baada ya safari ya matumaini kufa nimeambiwa Edward Lowassa ameiba jina la safari ya mabadiliko toka kwa Kigwangalla‘
‘CHADEMA ilipata
umaarufu kwa kupinga ufisadi na kumchafua Lowassa, leo wana kazi ya
kumsafisha na kujieleza kuwa wao si wa aina yake, uchaguzi2015 CCM itaheshimika zaidi, upinzani utapotezwa vibaya sana na utakufa kifo cha aibu #MagufuliMtendaji ‘
#Uchaguzi2015 CCM itaheshimika zaidi, upinzani utapotezwa vibaya sana na utakufa kifo cha aibu #MagufuliMtendaji
— Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) August 5, 2015
Baada ya #SafariyaMatumaini kufa, nimeambiwa @edward_lowassa AMEIBA Jina la #SafariyaMabadiliko toka kwa Kigwangalla pic.twitter.com/eLsEedH5NN
— Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) August 5, 2015
Watia nia wengine waliishia kwenye vikao Vya Sekretariet na Kamati ya maadili, wengine tulifika Kamati Kuu, tukaambiwa ni hazina ya kesho!
— Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) August 5, 2015
CDM gained fame kwa kupinga ufisadi na kumchafua #Lowassa, Leo wana kazi ya kumsafisha na kujieleza kuwa wao si wa aina Yake!
— Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) August 5, 2015
CDM gained popularity by tarnishing the image of the status quo and leaders like #Lowassa. #MagufuliMtendaji
— Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) August 5, 2015
Post a Comment