JK -'Tumejipanga kwa hoja,tunazo za kutosha za kuzungumzia uzuri wa CCM,maendeleo yanaonekana na dunia nzima inajua
JK- 'Tumejiandaa vya kutosha kushinda na tutashinda, tunao uzoefu, maarifa na uwezo wa kushinda tunao, tujipange'
JK- 'CCM inaendesha vizuri nchi hii, ila watu wamekua na tamaa tu, wengine tamaa zimekithiri na kuvuka mipaka'
- IKULU:Mgombea Urais CCM Dk John Magufuli akilakiwa na M/kiti CCM
Dk.MAGUFULI - 'Nawashukuru mliojitokeza kwa wingi kwa niaba ya Watanzania kutusindikiza sisi kuchukua fomu
Dk.MAGUFULI- 'Mkusanyiko huu wa watu waliojitokeza leo kutusindikiza ni ushahidi tosha CCM itaendelea kutawala nchi
Dk.MAGUFULI- Nawashukuru Watanzania wa dini zote, makabila yote kwa kuzidi kukiombea chama chetu kizidi kushika doka #CCM2015
Dk.MAGUFULI- 'Shida za Watanzania ninazijua, mategemeo yao pia ninayajua,na kwa bahati nzuri misingi mizuri imewekwa #CCM2015
Dk. MAGUFULI - Watanzania wanataka ajira, hawataki kero za ajabu kama mama ntilie kukamatwa, wanataka wajenge uchumi
Dk. MAGUFULI -'Nimepokea kijiti kwa mikono miwili, simuoni wa kutushinda, nataka nipeperushe vizuri bendera ya CCM
DK. MAGUFULI -'Najua mmepoteza nguvu zenu katika kutembea, mmmetoa jasho, nawahakikishia muda wenu hautapotea bure'
Dk.MAGUFULI -'Mliojitokeza hapa najua wapo
CCM,CHADEMA,CUF na makabila mbalimbali, tusibaguane kwa dini wala itikadi #TZALiveUpdates CCM2015
Umati wajitokeza kumuunga mkono Mgombea Urais Mhe. John P. Magufuli kuchukua fomu katika ofisi za NEC.#UmojaNiUshindi
Post a Comment