Picha
hii inaweza kuwa ndiyo picha inayoenea kwa kasi sasa katika mitandao
mbalimbali picha ambayo inamuonyesha katibu mkuu wa chama cha democrasia
na maendeleo chadema Dk wilbrod Slaa akiwa na viongozi mbalimbali wa
chama hicho ambapo imeelezwa kuwa ni baada ya kikao cha mashauriano ya
kumshauri katibu huyo kurejea ofisini na kuendelea na majukumu yake. Habari za chini ya kapeti zinasema kuwa kikao hicho kimemalizika na katibu huyo atarejea ofisini muda wowote kuendelea na jukumu kubwa la kupanga wagombea ubunge katika majimbo mbalimbali nchini. Mtandao huu unafwatilia kwa ukaribu habari hizi tutawajuza zaidi |
Post a Comment