Mazoezi ni jambo muhimu unapokuwa na ujauzito, Zari anasema ni rahisi zaidi kufanya mazoezi akiwa karibu na mpenzi wake Diamond Platnumz ” Well, it’s always easier with ‘man power ” Hizi ni picha kutoka kwenye private Gym ya Diamond Platnumz ndani ya State House.



Post a Comment

Powered by Blogger.