Kati ya tabia ambazo unatakiwa kuacha ili kuwa makini na afya njema kiakili ni hizi hapa:
- Kutopata kifungua kinywa
- Kula kupita kiasi
- Kuvuta sigara
- Kula sukari nyingi
- Kukaa sehemu yenye hewa chafu
- Kutolala vizuri
- Kuziba pua wakati wa kulala (Kutopata hewa safi)
- Kufanya kazi wakati unaumwa (Ukiwa mdhoofu na magonjwa)
- Kutokuwa na fikra chanya
- Kutoongea kwa muda mrefu
Post a Comment