Ukweli wa Dk Slaa
Kuondoka kimya kimya Chadema umethibitishwa katika video hii hapa chini
na Makamu mwenyekiti wa Chama hicho Professa Abdallah Safari huku
Mwanasheria Chadema, Mabere Marandu akisema wazi kuwa hali ndani ya
chama ni mbaya.
Tazama ukweli wote hapa chini kwenye video ya habari hii iliyorushwa na AZAM TV wakati Lowassa akirudisha fomu ya Urais CHADEMA.
Post a Comment