Tanzania
bado iko kwenye headlines za uchaguzi ambapo mpaka sasa wapo Wabunge
kadhaa mwaka huu inawezekana tusiwaone kwenye Bunge letu la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania.
August 03 Katibu wa Ccm wilaya ya Iramba
kayatoa matokeo ya Jimbo hilo ambapo ameanza kwa kutoa idadi ya
Wanachama wa Ccm wote 59,393,Kura zilizopigwa 33,825,kura zilizoharibika
367 na kura halali ni 33,452.
Mwigulu Lameck Nchemba amepata kura 28,778,Juma Hasani Kilimba 2375,David Kitundu Jairo 2064 na Amoni Julius Gyunda 241.
Post a Comment